Masanja aanza na MC Pilipili juu ya kuukumbatia ukapera amcharaza bakora hazarani

Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa adhabu kwa wanaochelewa kuoa.

==> Tazama video hapo chini


Masanja aanza na MC Pilipili juu ya kuukumbatia ukapera amcharaza bakora hazarani Masanja aanza na MC Pilipili juu ya kuukumbatia ukapera amcharaza bakora hazarani Reviewed by on 7:12:00 AM Rating: 5

No comments: