Mzee Yusuph Atangaza Kuacha Kuimba Taarabu..Amrudia Mungu na Kutubu MadhambiMee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili apate msamaha kwa Mola wake.

Mzee Yusuph Ameapa kuto kujihusisha na Muziki na kutaka Nyimbo zake zisipigwe tena kwenye Media zote. Mzee Yusuph alionekana analia kwa uchungu katika msikiti wa Bongoni Ilala na kujutia yale aliyokuwa akiyafanya enzi za Ujahili wake
Mzee Yusuph Atangaza Kuacha Kuimba Taarabu..Amrudia Mungu na Kutubu Madhambi Mzee Yusuph Atangaza Kuacha Kuimba Taarabu..Amrudia Mungu na Kutubu Madhambi Reviewed by on 5:35:00 AM Rating: 5

No comments: