Profit every 10 minutes!" https://coin-farm.com/account/promo#:~:text=%3Ca%20href%3D%22https%3A//coin%2Dfarm.com/%3Fen%3Dhyam27%22%20target%3D%22_blank%22%3E%0A%3Cimg%20src%3D%22https%3A//coin%2Dfarm.com/images/promo/en/728x90.gif%22%0Aalt%3D%22Profit%20every%2010%20minutes!%22%3E%3C/a%3E

Zari atishia kutoa mimba


Baada ya kuibuka kwa 'skendo' kuwa Diamond Platinumz anajivinjari na 'video queen' wa WCB, Irene Hilary ’Lynn’, Zari the Boss Lady, mwandani wa mkali huyo wa Bongofleva anadaiwa kukasirika kinoma na kufikia hatua ya kutaka kuitoa mimba ili kumkomoa Diamond.

Inadaiwa kuwa, kilichomkasirisha zaidi Zari ni kitendo cha mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ kuonesha kufurahia kitendo cha mwanaye kumsaliti, kulingana na gazeti moja la burudani

Hata hivyo Diamond ‘Baba Tiffah’ alipotafutwa alisema: 

“Unajua uhusiano una changamoto nyingi sana lakini ninachoweza kushukuru ni kwamba leo hii mimba ya baby wangu ina zaidi ya miezi minne na Mungu akijaalia mwezi Desemba nitapata mtoto mwingine wa kiume, hayo mengine tuyaache.”

Akaongeza: “Unajua watu wanaongea sana hasa kwenye mitandao ya kijamii lakini sisi ni waelewa na hatuwezi kuwapa watu nafasi watuharibie.”

Diamond na Zari wamekuwa kwenye uhusiano wenye figisu nyingi huku wengine wakidai hawawezi kudumu kutokana na msanii huyo kudaiwa mara kadhaa kusaliti ambapo skendo mbichi inayomtafuna ni ya kuwapachika mimba Lynn na modo Hamisa Mobeto.
Zari atishia kutoa mimba Zari atishia kutoa mimba Reviewed by on 6:18:00 AM Rating: 5

No comments: