Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana
tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi
hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya
kuzaliwa.
Wawili
hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao
ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya
kurudiana na baadae kukanushwa na Wema Sepetu.
Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika ujumbe huu:
Happy
Birthday Princess Tee…🎈🎉🎁🎊🎀💝 May Allah bless your precious lil
self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman…
Princess_tiffah.
Jumamosi hii bintiye Diamond, Tiffah, ametimiza mwaka mmoja ambapo amewashukuru wote waliomtakia heri katika siku hiyo.
“Today
a year ago at 4:40 am in the wee hours of the morning I was brought
into this world. Thank-you for all my bday wishes & God bless all of
you😘. HAPPY BIRTHDAY TO ME,” Ujumbe huu uliandikwa instagram ya binti huyo.
Kwa upande wa Diamond, ameandika:
Princess_tiffah You are certainly the most beautiful gift that i have
received in my lifetime….This day is very important for us and to
everyone who knows you…Only God Knows how much you mean to me…am so
Proud for the first time in my Life to wish my own daughter Happy
Birthday… trust me, in my Heart you are the most wonderful daughter in
the whole world!….May you always be surrounded with beauty and
happiness!…..My Angel, my little Cupcake, my sweet daughter, My Miss
World, me and Your Cute Mom loves you so much…..Happy Birthday!
@princess_tiffah 🎉🎂🎉
Wema Sepetu atoa Ujumbe wa Birthday kwa Tiffah
Reviewed by
on
10:51:00 AM
Rating:
No comments: