April 16 2016 ni siku ambayo wakazi wa kigamboni walianza kulitumia daraja la ‘Nyerere’ Kigamboni na baaadae Daraja la Nyerere ‘kigamboni’ lilifunguliwa rasmi April 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John pombe Magufuli.
Afisa
Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
(SUMATRA) David Mziray ameongelea uanzishwaji wa usafirishaji wa abiria
kwa daladala kupitia daraja la Nyerere ‘Kigamboni’ Dar es salaam.
Tunaomba kuhamasisha wamiliki wa mabasi kuja kupata leseni kwa ajili ya kutoa huduma ya Kigamboni kwenda mbagala rangitatu, kigamboni kwenda temeke, kigamboni- stesheni, sasa hivi njia hizo ziko wazi, tunahamasisha magari ambayo yanabeba abiria 27 na kuendelea, nauli zinaanzia 400 mpaka 450‘
Daladala kuanza kupitisha abiria daraja la Kigamboni
Reviewed by
on
10:35:00 PM
Rating:
No comments: