Mei
1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yalifanyika
kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli, Watu mbalimbali walijitokeza katika viwanja vya
Jamhuri.
Rais Magufuli alipata nafsi ya kusikiliza changamoto mbalimbali za
Wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kisha baadae
akasimama na kuzungumza na watu wake; tazama video hapa chini
Makao makuu kuhamia Dodoma Kauli ya Dkt. John Pombe Magufuli hii hapa
Reviewed by
on
10:42:00 PM
Rating:
No comments: